Na Mwandishi Wetu Zanzibar Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi leo January 16 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) ,Ikulu Zanzibar. Uongozi wa Jumuiya hiyo uliongozwa na Mwenyekiti wa UWT Taifa
Na Mwandishi Wetu Zanzibar
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi leo January 16 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) ,Ikulu Zanzibar.
Uongozi wa Jumuiya hiyo uliongozwa na Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndugu Mary Chatanda ,Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa aliyeambatana na Makamu Mwenyekiti UWT Zanzibar Ndugu Zainab Shomari ,viongozi mbalimbali wa kitaifa wa Jumuiya hiyo kwa nia ya kujitambulisha baada ya kuchaguliwa .
Pia wamempongeza Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar na Kutekeleza Ilani ya CCM ya Utekelezaji 2020-2025.
Mwisho
Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *